Habari yenyu wadau,
nasikia jana kwenye news star tv walisema wale wanafunzi wahanga wa vyeti vya kumaliza UCLAS (sasa ARU) watapewa vyeti vyao UDSM, kwa mwenye taarifa naomba atujuze kama walisema lini wanatoa, mwaka wa 4 sasa sina cheti, asanteni.
Mimi nimesikia kupitia gazeti moja la Kiswahili (nimelisahau jina) watapewa vyeti kwenye mahafali yajayo ya UDSM, nahisi mahafali hayo ni wiki ijayo. Pole sana ndugu