The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Minara 42 ya Mawasiliano kati ya Minara 107 inayojengwa kanda ya nyanda za juu Kusini na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote imekamilika
Akizunģumza kupitia kipindi cha #Checkpoint, Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) nyanda za juu kusini Mhandisi Richard Sotery amesema ujenzi wa minara hiyo unafanyika kwenye mikoa ya Katavi,Mbeya,Njombe,Rukwa,Ruvuma na Songwe lengo likiwa ni kuboresha upatikanaji wa Mawasiliano kwa wananchi wote.