UCSAF yasaidia upatikanaji wa matibabu ya kibingwa kupitia mtandao wa mahali mgonjwa alipo

UCSAF yasaidia upatikanaji wa matibabu ya kibingwa kupitia mtandao wa mahali mgonjwa alipo

PendoLyimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Posts
969
Reaction score
1,055
"Mfuko pia unatekeleza utoaji wa huduma za matibabu ya kibingwa mahali mgonjwa alipo bila ya kutoka sehemu alipo na kuja katika hospitali inayotoa huduma hizo za matibabu ya kibingwa kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wakiwemo taasisi ya TeKnolojia Dar es Salaam (DIT), Hospitali ya taifa muhimbili na Taasisi ya mifupa Muhimbili (MOI) chini ya utaratibu wa Wizara yenye dhamana ya Afya. Mfuko unaendelea kutekeleza mradi huu katika hospitali za Rufaa za mikoa ya Morogoro, Ruvuma, Katavi na Tanga. Vile vile Mfuko unaendelea kutekeleza mradi huu katika Hospitali za Wilaya ya Chato (GEITA) na Nzega (Tabora)" -

-- Mhandisi Shirikisho Mpunji, Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF)
 
Back
Top Bottom