Udahili kupitia TCU na NACTE

Ikimbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
301
Reaction score
32
Wadau naomba mnieleweshe, TCU wametangaza majina ya waliochaguliwa na vyuo husika ndio vimeyatoa ila ninachashangaa wale tulioomba kupitia NACTE tulio wengi hatujachaguliwa yaani waliochaguliwa walio wengi ni fresh 4m 6. Mfano UDSM, SUA, UDOM. na wanastate First Batch ina maana Batch watachaguliwa waliopitia NACTE?

Mnieleweshe wadau.
 
Vyuo ndo vimetoa majina na sio Tcu.
 
Yaani hata mim nipo njia panda takriban asilimia 95 tulioaply kupitia nacte tumeachwa
 
Ila kwa kuangalia tu wengi tuliomba kupitia nacte NACTE hatujapa nafasi na tumefaulu fresh tu
 
duu yaan wametupa stressed wknd
maama hata hatuwaelewi au mpaka twende jeshi na ss?
 
Nimechanganyikiwa mpaka basi! Hapa nafikiria sijui itakuwaje.
 
Vyuo vilitumiwa majina kwa ajili ya kuyahikiki na kuyakubali kisha kutuma taarifa TCU/NACTE. Badala yake vyuo vimetangaza majina hayo. Hayo majibu niliyapata NACTE baada ya kujikuta kwenye list ya walichaguliwa SAUT na wakati huo sikupata E-mail na profile yangu inaonesha Check in Progress hadi salsa. Ushauri wangu ni kuwa kama chuo ulichoomba kimetoa majina, pitia list yote usisubili E-mail
 
Check you profile now NACTE wameweka walio chaguliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…