Udahili wa Walimu wapya usitishwe au kuwekewa masharti magumu

Udahili wa Walimu wapya usitishwe au kuwekewa masharti magumu

Knuckletouchez

New Member
Joined
May 7, 2021
Posts
3
Reaction score
6
Kuna idadi kubwa ya waalimu graduates kutoka vyuo mbalimbali alafu Ajira za ualimu zimekuwa finyu.

Kukabiliana na janga hili la waalimu jobless yafuatayo yafanyike:

1. Serikali iache mara moja kuweka kipaumbele cha mikopo ya elimu ya juu kwa watu wanaosomea ualimu badala yake ikopeshe vijana wanaosoma IT, bussines na kilimo, hii itapunguza wimbi kubwa la wahitimu wanaoenda kusoma ualimu chuo kikuu

2. Alama za ufaulu ziongezwe kwa mtu anaetaka kusoma ualimu, kusoma ualimu iwe kwa wnafunzi wanaofaulu vizuri zaidi sio ambao wamefeli.
 
Sawa jobless na sheria kali unazotuwekea uko kwenye fani nyingine kuna ajila.
 
Back
Top Bottom