Udahili wa wanafunzi kidato cha tano

Udahili wa wanafunzi kidato cha tano

talalila

Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
18
Reaction score
2
Kuna shule za sekondari za binafsi zinatangaza kudahili wanafunzi wa kidato cha tano hata wakiwa na d3 au c2 na d1 au d5 wanadai eti wameruhusiwa na wizara ya elimu.. Kama kuna mtaalam toka wizarani hapa jamvin atujuze hli maana tusijeibiwa pesa zetu
 
Kuwa eligible kufanya mthan wa kidato cha cta LAZIMA uwe na at least credit(C grade or higher) 3 irrespectve ya shule unayotoka whether n govt or private or mtahiniwa bnafc.Hao unaowasema wanachotaka pesa tu,wakshakudahl watakutaka kuresit baadh ya maxomo il kukdh vgezo.Be care.
 
kweli mkuu.
 
Back
Top Bottom