Nina wito na mapenzi ya dhati kuwa daktari.
Nilianza jaribu kutimiza wito huu kwa kusoma masomo ya sayansi O-LEVEL,nimefaulu vizuri masomo hayo.
Advance nikashndwa kumudu kusoma PCB kwa kutoziweza gharama za tuition na vitabu husika.
Nikasoma EGM na kufaulu vizuri pia.
Natamani nijikite ktk utaalamu wa kutibu figo au moyo.
Naombeni muongozo wadau.
Mwenye nia njema anitafute kwa PM