nina wito na mapenzi ya dhati kuwa daktari..
Nilianza jaribu kutimiza wito huu kwa kusoma masomo ya sayansi O-LEVEL,nimefaulu vizuri masomo hayo..
Advance nikashndwa kumudu kusoma PCB kwa kutoziweza gharama za tuition na vitabu husika...nikasoma EGM na kufaulu vizuri pia...
natamani nijikite ktk utaalamu wa kutibu figo au moyo,,.naombeni muongozo wadau...mwenye nia nje anitafute kwa PM
Sasa EGM Na Kutibu Figo Na Moyo Wapi Na Wapi Tena Mkuu? Hapo Ni Sawa Na Kumwambia MBILIKIMO Apige MSAMBA Ktk Beseni Je Ataweza?
unaweza sana tu ila inakubd uwe na mvumilivu sanaa kama utaweza kutumia chet cha fm4 though n safar ndefu lkn
aisee! hata kuanza na diploma haiwezekani? nipo tayari kuanza level ya chni kabisa na kupanda taratibu mpaka level husika..
apo una bonge la safari ila usikate tamaa....itabidi uanzie Diploma ambayo huchukua Miaka 3. qualfcation zake lazma uwe na credt za Chemistry&biology na angalau D ya physc unatuma maombi wizaya ya afya ukitolewa njee vyuo vya goverment inabd uende private ambapo gharama zake ni milioni 2...!! bila kusahau na mitihani migumu ya Nacte...kazi kwako mkuu..!!
NB: ata mm binafsi yangu niwe mwazi nili anzia Diploma ila now nko MD so ata kwako itawezekana ila vikwazo ni vingi mno.
NIPO tayari, niambie tu pointi gani nianzie
hapo kwenye ufaulu wa O-LEVEL haina shda nimejitahdi kupata chemi-A, phy-B, bios-C na math..B,kwa mujibu wa viwango vya ufaulu vya mwaka2009..nisaidie nijue course inaitwaje itakayonifanya ni specialize kwenye figo
Tumia cheti cha form 4 kasome clinical officers' course- wengine wanaita medical assistant course. Vyuo ni vingi sana
Asante kwa muongozo huo...pia endelea kudadavua kdogo, je kupitia kuwa clinical officer ntaweza jiendeleza mpaka kuwa kitengo cha upasuaji na matibabu ya figo? wito wangu niweze tibu figo au moyo tu..kimajawapo mpaka nifike hatua ya upasuaji kabisa jamani
iko hivi mkuu,ukimaliza clinical officer miaka 3,utasoma MD miaka 5,baada ya hapo,utaenda internship mwaka 1,baada ya hapo utasoma master of medicine,MMED general surgery miaka 3,baada ya hapo utasoma kitu kinaitwa super specialization miaka 2,master of science in cardiology(MOYO) au kama FIGO master of science in nephrology.Asante kwa muongozo huo...pia endelea kudadavua kdogo, je kupitia kuwa clinical officer ntaweza jiendeleza mpaka kuwa kitengo cha upasuaji na matibabu ya figo? wito wangu niweze tibu figo au moyo tu..kimajawapo mpaka nifike hatua ya upasuaji kabisa jamani
iko hivi mkuu,ukimaliza clinical officer miaka 3,utasoma MD miaka 5,baada ya hapo,utaenda internship mwaka 1,baada ya hapo utasoma master of medicine,MMED general surgery miaka 3,baada ya hapo utasoma kitu kinaitwa super specialization miaka 2,master of science in cardiology(MOYO) au kama FIGO master of science in nephrology.
JUMLA YA MIAKA:3DIP+5MD+1INTERN+3MMED+2SUPER-SPECIAL=14 YEARS
NOTE:HIYO MIAKA HAPO HAUJAFANYA KAZI HATA MWAKA MMOJA.
iko hivi mkuu,ukimaliza clinical officer miaka 3,utasoma MD miaka 5,baada ya hapo,utaenda internship mwaka 1,baada ya hapo utasoma master of medicine,MMED general surgery miaka 3,baada ya hapo utasoma kitu kinaitwa super specialization miaka 2,master of science in cardiology(MOYO) au kama FIGO master of science in nephrology.
JUMLA YA MIAKA:3DIP+5MD+1INTERN+3MMED+2SUPER-SPECIAL=14 YEARS
NOTE:HIYO MIAKA HAPO HAUJAFANYA KAZI HATA MWAKA MMOJA.
Ndoto zingine zitabaki kua ndoto tu kaka angu..
Hahahaha :lol: :lol:
Kama ndoto zako zipo kwenye uwezo wako we zifuate tu. Mimi mwenyewe nipo kwenye dilema dizain kama ya huyo jamaa.
Mh, nahisi za huyu jamaa ziko nje ya uwezo wake, japo penye nia pana njia