Udaktari ni wito

Marconho

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
287
Reaction score
445
*profesa mmoja aliwaambia wanachuo wake kazi ya udaktari inahitaji vitu viwili ''kutokuwa na kinyaa na umakini'' akaingiza kidole puani mwa maiti kisha akalamba,akawaamuru nao wafanye hvyo wakafanya akawaambia kwenye kutokuwa na kinyaa mmefaulu

kwenye umakini mmefeli,mimi niliingiza cha kati nikalamba cha pili unaambiwa kilichotokea dokta alizikwa kabla ya maiti*
 
 
Hiyo lazima wangefeli wengi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…