Udaktari wa Heshima lini atapewa Mrisho Mpoto na Mboso?

Soul21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
210
Reaction score
351
Wadau wa Kiswahili wanaweza kunielewa kwa nini nauliza hivi.

Mrisho mpoto na Mboso katika kazi ya sanaa wanakuza na kuendeleza Kiswahili kwa kasi yenye ubunifu wa hali ya juu.

Watu kama hawa ili waibukeni wengine lazima kuwa na nafasi ya kutambua mchango wao hasa wa kupewa degree yao ya heshima kwani wamefanyanya fanya kazi kubwa.

Au tusubirie wafe kwanza?
 

Attachments

  • images (6).jpeg
    31.8 KB · Views: 40
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…