Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Mgonjwa achagui tibaHawa jamaa wanaotibu kwa madawa asili wanakula mkwanja mkubwa sana. Yani walivowashika watu au mtu yupo tayari kununua dawa ya asili iliyofungwa kijanja laki na nusu kuliko kununua duka la madawa dawa elfu kumi.
Daktari wa sili anasikilizwa sana kuliko wa hospitalini na tena wameteka sana watu wa mijini wenye matatizo ya nguvu za kiume, uzazi, kisukari na kuimarisha mwili.
Ndio maana wanapata pesa kubwa hawa watu
Ndio maana kila sehemu kumefunguliwa maduka ya dawa za asili,na wengine wanauza kando ya barabara ni wengi sana.Na wapo wanaouza kwa kuzunguka,sehemu mbalimbali,mitaani.Hawa jamaa wanaotibu kwa madawa asili wanakula mkwanja mkubwa sana. Yani walivowashika watu au mtu yupo tayari kununua dawa ya asili iliyofungwa kijanja laki na nusu kuliko kununua duka la madawa dawa elfu kumi.