Mie nawe tena[emoji108][emoji1] [emoji1] [emoji1] ur my friend!!
Ha haaa sasa wapenzi na undugu wapi na wapi banatumetoka mbali kweli kweli...uzuri hatujawahi kuwa wapenzi!!! ha ha ha ha....
Mara ya mwisho kufunga sikumbuki ni lini na nilifungua kabla ya mudaoh...basi sawa!! umefunga lakini?
We umefunga?pole sana!!
kwa kushindwa kuitimiza nguzo hii muhimu sana.
Hongera... Ulimchek yule?muhimu sana...
Upo we mwanaumenitamcheki...