Udaku Special!! 3rd Edition... Full Nondo!!!

mhmmm! kiwatengu najua kuwa maombi yamefanya kazi

ILA SASA

hii teamBazazi ipo kama ipo vileee!!!

ha ha haha wifi acha Ntuzu kidogo afanikiwe yeye na dada yake Honey Faith, niachane na kaka yako Mr Rocky wewe nimetoa mkwara wa maana nimemrudisha si unajua nvyo mpenda kaka yako.... wewe nimesema nitamkata Ntuzu chululu yake acha mpenziwe mpya Khantwe anitishe wewe nikamwambia kama kashindwa kutuliza kitenesi chake yani ( Ntuzu) atuache wewe yani bibie nimekumiss
 
katekwa na moyo wangu mumuache siatakki ushahidi

Tego ulilomtegea kamatilia hapo hapo.....huyo rocky hata akikukuta kitandani na yule mwingine ukamuambia baby tuko scene ya chumbani twarekodi bongo movie..am sure atakubali
 

Utajuta kukataa kuja usukumani mie nakupa pole sana.Wifi yetu tumpendae Khantwe ndo kwanza kalala usimpigie kelele.Ila kuna jirani yetu anatafuta mke ukiachika huko usisite kutujulisha missChagga
 
Last edited by a moderator:

Mentor mie maisha hayajanishinda kabisaaa.Mie nipo kwa mume wangu nakula raha za dunia by the way kila kitu naletewa ndani hata kazi siruhusiwi kufanya.cc Rogie
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaaa daaah...
 
Last edited by a moderator:
Utajuta kukataa kuja usukumani mie nakupa pole sana.Wifi yetu tumpendae Khantwe ndo kwanza kalala usimpigie kelele.Ila kuna jirani yetu anatafuta mke ukiachika huko usisite kutujulisha missChagga
yani mimi siachiki nimemwachia Khantwe hicho kitenesi... weka kichwani mwako huwa siachwi naacha he he he he mtoto wa kichaga nilifundwa uzaramuni na kukulia uhayani he he he siachiki .... kaka yako Ntuzu nilimwacha kwa kuwa mbahili aiii mimi wa nini sitaki kabisa....anataka papuchi huku kuhudumia hataki aiii mie nnimefundwa uazaramuni wanasema binti anahudumiwa si kuhangaika ... he he he he uniache niringe mie...
 

nimeipenda hii...
 

Hakuna msukuma ambaye ahudumii mali yake sema wewe ulizidisha kwa tetesi tulizonazo kumbe na wewe ulikuwa unamuonga huyo laaziz wako.Ila Ntuzu anahudumia sana yani hapishani na shemeji yake Rogie
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…