Udaku Special, 4th Edition: Critical

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
18,585
Reaction score
16,780
Toleo la 4!!
Happy August to all...

1. Kiranga aamua kuokoka! Ashangaa sana injili ilivyo tamu, nyimbo za kusifu na mapambio vyawa burudani tosha kwake..
Apendelea Kanisa la Gwajima, Kawe.
Kibadilishi kikuu chake bado hakijajulikana...

2. Demu wa Nyani Ngabu aonekana akimuimbia JK huko Ng'ambo,(DMV) mwenyewe kainasa video husika akereka sana.
Hakujua kama Kuwa Marekani hakumfuti mtu ujinga wote.
Kilichomkera zaidi ni huyo demu wake kuvaa nguo za kijani, Na kusikika akisema shikamoo kubwa kwa mkuu wa kaya ya huku.

4. Tized awa mganga wa kienyeji.
Mwenyewe adai ni wakurithi..
Ataufanya kwa ukamilifu ili kunusuru maisha yake.
Aazimia kumnasa Dena Amsi kama msaidizi wake
wa karibu.
Mr Rocky kunyamazishwa, dawa iko jikoni.

5. miss neddy aonekana Tarime! Yasemekana ni juhudi za kuwin Excel's love.
Mazingira magumu ya Tarime yamshangaza, akoma kulazimisha ndoa.

6. masai dada aonekana Tegeta, ni karibu sana na kwa Mzee ODM Asprin haijajulikana sana alikuwa anatafuta nini...

7. team ant free P yaanza kukosa nguvu, inasemekana wapo member wazungumzaji tu! ila matendo kwao ni ngumu, mpaka sasa wapo wawili.

8. tumboo azua tafrani Chit chat... ni baada ya kijana aitwae First Born kupendezwa nae.
atafuta njia ya kumpata, moja ikiwa ni kumwanzishia Uzi na kumwagia sifa kibao.
Mchumbawe romantic eyes ashtukia deal.
Aamua kukomaa ili isiwe tabu.

9. Hatimaye Paroko Eiyer asababisha ujauzito kwa moja wa kondoo wake.
Alionywa mara nyingi hakusikia. Inasemekana ni mtego,
Mwenyewe ahaha kuficha taarifa zisifike kwa Kadinali.
'Valentina' azipata habari, aapa kutoachana na Paroko.

10. Eli79 aonekana kwa mgaga wa kienyeji,
lengo ni kuloga ndoa za watu na kumrejesha KOKUTONA, akili yake bado haiko sawa.

11. kan'tangaze ahusishwa na kumhujumu Mentor siku ya birthday.
Amfyonza hadi Nauli!! M Pesa toka kwa mwallu yaokoa jahazi.
Kidogo apige mbizi kurejea Kigamboni.

12. Khantwe amwekea Ntuzu ulinzi mkali!!
awatahadharisha kina miss chagga, kutumia viwembe kama silaha yake kuu.
Afanikiwa kudhibiti njia kadhaa za uchepukaji.

Cc; Khantwe, janeth1 Honey Faith.

GET YOUR Copy
 
Last edited by a moderator:
Ha ha..! KOKUTONA kanipiga buti la ukweli. Nazivuruga ndoa za watu kweli kweli saivi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…