Hii sio mara ya kwanza kuwabamba Udaku special waki copy na kupaste threads za JF na kuzipeleka instagram.....
Sio dhambi ila muwe mna acknowledge basi,mbona si tukitoa IG tukileta hapa tunasema kabisa.....
Halafu mue creative na hicho ki app chenu nahisi kimejaa threads za JF...
Sa sijui unataka kuipiku au vipi...
Nawashauri muwe creative,mje na vitu vipya vya kutuvuta wambea kama mimi...
Nlitaka nidownload app yenu ila baada ya kuona IG acc yenu ni copy and paste nimesitisha....
Najua uko humu na unazoom tu hapa...
NB: correct me if am wrong