C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,074
- 3,743
hivi lile bifu la Mtangazaji maarufu wa redio ambaye pia ni MUME WA MWANAMUZIKI MAARUFU sana vs Chidi Benz bado linaendelea?
lile ambalo lilikuwa linahusisha uwepo wa MWANAMKE/MKE huyo wa mtangazaji kati kati mnalikumbuka?
mpaka Chidi Benz ukawa ndio mwanzo wa kuporomoka kimuziki kwani MUME/MTANGAZAJI huyo alihakikisha Chidi Benz nyimbo zake hazipigwi kwenye radio anayotangaza ambayo ndio ilimbeba sana chidi benz enzi anatoka kimuziki
chanzo cha ugomvi
ni kuwa CHIDI BENZI alikuwa anamtaka MWANAMZIKI huyo huku akijua aliolewa na hii ni baada ya chidi kushirikishwa kwenye nyimbo ya mwanamuziki huyo
Mume akajua mpaka kufikia ugomvi mkubwa wa Chidi kutokuwapo kwenye video ya wimbo huo
mnakumbuka?
STORI CHINI YA KAPETI kutoka vyanzo vya karibu kabisa na CHIDI BENZI zinasema kuwa CHIDI alikula mzigo ila jamaa aliyevujisha story anasema hana uhakika kama ni kweli chidi alikula mzigo au ni kujipa maujiko mjini hapa