Udaku time: Mnalikumbuka bifu kati ya chidi benzi na mtangazaji maarufu kisa mwanamuziki maarufu??

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,074
Reaction score
3,743
hivi lile bifu la Mtangazaji maarufu wa redio ambaye pia ni MUME WA MWANAMUZIKI MAARUFU sana vs Chidi Benz bado linaendelea?
lile ambalo lilikuwa linahusisha uwepo wa MWANAMKE/MKE huyo wa mtangazaji kati kati mnalikumbuka?
mpaka Chidi Benz ukawa ndio mwanzo wa kuporomoka kimuziki kwani MUME/MTANGAZAJI huyo alihakikisha Chidi Benz nyimbo zake hazipigwi kwenye radio anayotangaza ambayo ndio ilimbeba sana chidi benz enzi anatoka kimuziki

chanzo cha ugomvi
ni kuwa CHIDI BENZI alikuwa anamtaka MWANAMZIKI huyo huku akijua aliolewa na hii ni baada ya chidi kushirikishwa kwenye nyimbo ya mwanamuziki huyo

Mume akajua mpaka kufikia ugomvi mkubwa wa Chidi kutokuwapo kwenye video ya wimbo huo

mnakumbuka?

STORI CHINI YA KAPETI kutoka vyanzo vya karibu kabisa na CHIDI BENZI zinasema kuwa CHIDI alikula mzigo ila jamaa aliyevujisha story anasema hana uhakika kama ni kweli chidi alikula mzigo au ni kujipa maujiko mjini hapa
 
Mh nimetumia halmashaul yangu ya kichwa Mume mtangazaji maarufu ni Gadner G Habashi,Mwanamzik wa kike Maarufu Jde...wimbo walioshilikiana ni Yupo juu.

Back to the topic hilo jibu la bifu kuendelea au kutoendelea unaweza ukawa na jibu wewe mwenyewe kupitia kwa huyo aliyesema chid kala mzigo.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
C uwatafute wahusika uwaulize!
 
solo thang naye anatangaza kamkaza jide..mmh,kila mtu anaweza kusema anachotaka
 
solo thang naye anatangaza kamkaza jide..mmh,kila mtu anaweza kusema anachotaka

Hii sijaisikia,ila hata hivyo hivi kwani ni ajabu sana Jide kukazwa,kwani ana nini spesho ambacho wengine hawana?Au nonihino yake ina A.C?
 
Chidbenz inaonekana mda wake wa kuwa on 'PEAK' aliutumia vizuri,nadhani kila demu aliyekuwa anamshirikisha alikuwa anakula mzigo.Mwasiti nasikia alikula,wale wakina Angie na Rayc sidhan kama walipona
 
ngoja nijikalie kimya mie maana nilishawai kufungiwa kisa stread ya jike dume wa kwenye mgahawa wa nyumbani lounge
 
kama hii habari imeandikwa na mwanaume basi na akajichunguze vizuri anaweza kuwa haijui jinsia ake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…