seedorf samuel
Member
- Apr 23, 2019
- 9
- 15
Hao wanaajiriwa kuliko ma MDHivi ma clinical officer siku hizi soko lao la ajira lipoje?
Wanatupwa vijijini kwa sana ,ni rahisi kwa asilimia 99% clinical officer kuajiriwa kuliko MD kaka 🫢Hivi ma clinical officer siku hizi soko lao la ajira lipoje?
Sawa mkuuWanatupwa vijijini kwa sana ,ni rahisi kwa asilimia 99% clinical officer kuajiriwa kuliko MD kaka 🫢