UDART KWENDA DART?

Nams

Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
17
Reaction score
9
Shida ipo wapi mbona serekali imekaa kimya haitoi tamko lolote kuhusu huu mradi maana tunapata tabu kuna shida gani katika hili?
 
Pambana na hali yako. Kisena anatoka kanda pendwa, hatumbuliki. Ile kanda ni untouchable. Huku dar walala hoi nyumba zabomolewa, kule ole wao atakayewabomolea. Kisena na udart ni wa kanda pendwa mkuu. Hatumbuliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…