Tetesi: UDART - PCCB -Jiji rushwa zatawala!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ambayo Mheshimiwa Magufuli hajajulishwa ni kampuni isiyo rasmi inayomilikiwa na mtu mmoja, kutoka Dodoma mwenye mke kutoka Kigoma akishirikiana na watu wa UDART-wachache kuingiza omba omba vituoni ili kuomba na mapato hayo hugawana wahusika.

Sasa ukifika kituo cha Kisutu, Kimara Mwisho, Morocco, Gerezani/ Kariakoo kuna ombaomba ambao ni sehemu zao za kudumu, huyu mwenye kampuni katumia mbinu ya kuwawekea ma-POP/ya uongo na kuyamwagia tomato sosi ili kuonyehsha wamevunjika miguu na magonjwa mengine, kwanza huu ni udhalilishaji lakini pia ni kumchongea Mh. RC Makonda kwa Rais ili aonekane hafanyi kazi.

Mkurugenzi wa manispaa yupo tu ofisini akiangalia tamthilia badala ya kwenda saiti kuona hali ilivyo huku PCCB wakilala usinhgizi wa pono kwa kutofanya uchunguzi na kukamata hawa watuishi wa UDART na jiji.

Nimeheshimu utu wa ombaomba sijaweka picha zao maana si walemvu, vijana na wazee imported from Dodoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…