tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Ndo wapi huko mwanangu akaombe?
Huu umasikin wetu mmeamua kuutumia vizuri...kuna internship za UDBS(advans bank, ttcl na kwingineko) watu wanalipwa 150,000/months, ambayo 5,000/day-hela ambayo tuliigomea tukiwa chuo...kibaya ni kwamba mwanzo walihaidi watalipa 250,000 lakini ghafla wamebadilika na kuanza kulipa 150,000. Pia inasemekana kuwa pesa hizo ni za DANIDA, wenye mradi hapo UDBS kuweni na huruma hata kidogo.

Mwanzoni mlipoambiwa mtalipwa 250000 mlisaini mkataba au mliambiwa kwa mdomo. Kama kuna mkataba nanyi mkakubali kubadilishiwa kiwango kwa maneno real elimu itakuwa haijawakomboa pamoja na business law ya 1&2 yr. Kazi ni ngumu sana ila tusikubalu kunyanyasika.
mkuu mi sipo kwenye hiyo program, kwa taharifa nilizonazo, wananadai mkataba ulikuwa written na umekuwa applicable kwa mwezi mmoja wa kwanza pale Advans, mwezi uliofuatia wakaambiwa watawapa 150,000....bado sijajua terms & conditions za mkataba wao zilikuwaje.
unapiga kelele laki na nusu watu wanafanya internship na hawalipwi hata dala
Mwanzoni mlipoambiwa mtalipwa 250000 mlisaini mkataba au mliambiwa kwa mdomo. Kama kuna mkataba nanyi mkakubali kubadilishiwa kiwango kwa maneno real elimu itakuwa haijawakomboa pamoja na business law ya 1&2 yr. Kazi ni ngumu sana ila tusikubalu kunyanyasika.
kaka umekumbuka mambo ya OFFER and ACCEPTANCE, INVITATION TREATS. Wale jamaa wa law nomaa nawakumbuka vizuri.
NARUDIKWENYE MAADA,
Minadhani kama mliwekeana sahihi kuhusu mailipo ya s.150000, hapo mmejifunga.
Ndo wapi huko mwanangu akaombe?
mkuu mi sipo kwenye hiyo program, kwa taharifa nilizonazo, wananadai mkataba ulikuwa written na umekuwa applicable kwa mwezi mmoja wa kwanza pale Advans, mwezi uliofuatia wakaambiwa watawapa 150,000....bado sijajua terms & conditions za mkataba wao zilikuwaje.
jua kwanza terms za mkataba zen ucomplain what if huo mkataba ulikuwa first mont 250000 the rest of days 150000 hapo utacomplain nin?
hata kama mkataba unasema hivyo, still hawatendi..gharama za maisha zinapanda wao wanapunguza pesa?
UDSM tulipogoma mwaka 2011 wakaongeza boom sa hv ni 6500 per dy, leo wanaandaa program wanakulipa 5000 per day.. Mean maisha ya mtaani na chuo yap ni gharama?