ndo zile internship za kupeana mbona mimi mwana udbs lakini nasikia tu kuna watu wanafanya crdb. nyie si mmezoea kuchakachua chakachuen basi na hayo malipo. mnapeana eeeeeeeeeeehhhhhh mlidhani hizo ni posho za bungeni. ushauri; gomeni kunji la ukweli
kama vp wachaneni mawaiti, uwo si mpanga wao wanajua sababu mna njaa mtafanya tu amna jinsi. but mjoonge mjongeni lkn akiyake mpeni. niyo tu mkuu, poleni sana, msikubali kufanya kazi kwa ziki.