Maria Nyamhanga
Senior Member
- Jun 14, 2011
- 130
- 25
Mtoto wangu anaumri wa miezi mitatu.. ila ameanza kutokwa udenda akiwa na miezi miwili. Ila huu udenda umezidi kawaida na anakuwa anatema mate sana! tatizo ni nini? je ni kutokuweza kumsafisha vizuri mdomo? pia kama kunadawa ya kusaifishia ulimi wa mtoto nisaidieni kiujua.
kwenye kumsafisha ulimi mama yangu alikuwa anamsafisha wa kwangu kwa kutumia mmea unaoitwa mkarekare sijui wengine watakuwa na njia tofauti.
ni vizuri ungempeleka hospitali