Udereva Dubai na Qatar

Udereva Dubai na Qatar

Chiclette

Senior Member
Joined
Feb 17, 2024
Posts
133
Reaction score
222
Samahani Wana JF kwa walio na taarifa au walioko huko uarabuni
Nataka nikasome driving ili niombee kazi huko
Sasa naomba kuuliza ni madereva gani wanahitajika kama ni taxi au maloro naomba ufafanuzi
NB : Sijui chochote kuhusu udereva kama nimekosea mtanisahihisha, kejeli zinaruhusiwa.
 
Soma Udereva wa Class C pale NIT. Ukiipata hiyo hata malori unaendesha na kazi unapata. Ila Dubai wanataka sana madereva Tax au gari ndogo.
 
Back
Top Bottom