Asilimia kubwa tunatumia anonymity. Hivyo sioni kama Kuna shida tukifungukaHakika hakuna baya mpaka sasahivi lakini hata kama lingekuwepo ningeli mwambia mwenyewe kistaarabu kuliko kuja kusema hapa JamiiForums.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Si tunatumia anonymity madam?! 😅Yaani unawaalika watu waje waseme udhaifu wa wenza wao hapa. Baba nanihii ole wako nione hata like yako kwenye huu uzi
Chumbani kwa maana ya usiri so ndio??,kama ndivyo Jf napo ni mahala sahihi maana hatujuani.Unamzungumzia mkeo au hawara yako? Maana ya mkeo yamalizieni chumbani kwenu. Nashauri tu