Udhaifu niliogundua kwa timu zetu hasa kwenye michuano ya Kimataifa

Udhaifu niliogundua kwa timu zetu hasa kwenye michuano ya Kimataifa

Daniel Mwinula

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
302
Reaction score
328
Sina hakika sana, kwahyo naweza nikawa sawa au nisiwe sawa pia.

Timu zetu za bongo tuna tabia moja mbaya sana, ambayo nadhani inatukosesha ushindi mara nyingi tunapokutana na timu za MATAIFA MENGINE.

Ukiangalia mechi zetu za kimataifa, kwa timu zetu za Tanzania tunapocheza na timu za nje, binafsi nimegundua kwamba HUWA TUNAANZA KWA KURELAX, halafu TUNATAFUTA USHINDI BAADAE. Wakati hali ni tofauti kwa wenzetu wengi, ambao huwa wanasaka USHINDI KWANZA, WANARELAX BAADAE.

Ndiyo maana mara nyingi tunajisifia kwa kupiga mpira mwingi KIPINDI CHA PILI, wakat muda huo kumbe wenzetu WAMERELAX KULINDA USHINDI WAO.

Natamani sana TUBADILIKE…!!!
 
Yanga imejaa wachezaji wacongo na benchi la ufundi waTunisia, hilo tatizo inakuwaje unalipa "timu zetu"?
 
Yanga imejaa wachezaji wacongo na benchi la ufundi Watunisia, hilo tatizo inakuwaje unalipa "timu zetu"?
Hilo tatizo sio Yanga tu. Ni timu zetu karibu ZOTE…!! Yaani imekuwa kama ni slogan ya TAIFA ZIMA.
 
Ule muda tunaopiga mpira mwingi, huwa nieither TUMESHAPIGWA, au tunapambana KURUDIAHA GOLI….!!!

Hali huwa mi tofauti tunapokutana sisi kwa sisi. Nadhani kwa kuwa tunajuana style yetu, basi huwa hatusumbuani sana. Ila kama mmoja wetu angekuwa na style ya hao jamaa, basi angekuwa anapata matokeo kila siku, na fasta sana.
 
Timu yako ni T/STARS hawa wengine huwawezi.
 
Tatizo ni timu zinajiona zinajua sana, unakwenda ugenini unajiachia tuu, wakati wenzetu wakija Tanzania huwa wanajiangusha , kujilinda na kupoteza muda
 
Mpira bongo bado labda tujaribu music huko..huko nje kuna vipaji vya mpira jaman.
Vipaji vimejaa tele TZ ndiyomaana wale Vijana chini ya umri wa miaka 17 na 21 wanaochezea timu za Taifa kama Serengeti Boys n.k huwa wanafika sana fainali za michuano ya kimataifa Africa, pia na timu ya Taifa ya kina Ke.

Shida ni kutokuwa na succession plans (mipango endelevu) ya soka zuri kwa kizazi cha baadaye au kutokuwa na fedha za uhakika na Viongozi wa nchi kutokuwa makini katika uwekezaji wa soka la leo na kesho TZ.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom