Sina hakika sana, kwahyo naweza nikawa sawa au nisiwe sawa pia.
Timu zetu za bongo tuna tabia moja mbaya sana, ambayo nadhani inatukosesha ushindi mara nyingi tunapokutana na timu za MATAIFA MENGINE.
Ukiangalia mechi zetu za kimataifa, kwa timu zetu za Tanzania tunapocheza na timu za nje, binafsi nimegundua kwamba HUWA TUNAANZA KWA KURELAX, halafu TUNATAFUTA USHINDI BAADAE. Wakati hali ni tofauti kwa wenzetu wengi, ambao huwa wanasaka USHINDI KWANZA, WANARELAX BAADAE.
Ndiyo maana mara nyingi tunajisifia kwa kupiga mpira mwingi KIPINDI CHA PILI, wakat muda huo kumbe wenzetu WAMERELAX KULINDA USHINDI WAO.
Natamani sana TUBADILIKE…!!!