Mmh umefika mbali kiongozi, mbona hata hujasita kuongea mambo usio na elimu nayo me nadhani ilikua ni Bora kwako kunyamaza... Ni madrasa gan inawafundisha watoto kuua askari au Kama hlo ni gumu bas ni lini watoto wa madrasa walimuua askari???? Simtetei ila ifike hatua tumhukum mtu Kama yeye na sio kinachojidhihirisha baada ya kumuona mtu kama IMAN yake au PROFESSIONAL yake....