LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Miaka elfu Kumi ijayo Dini za ukristo Na uislamu huenda zikawa zimetoweka kabisa Afrika( kwingineko duniani zinatoweka Kwa Kasi ya ajabu ) na watu watarejea kwenye Imani zao ZA asili ZA matambiko .
Kwa Sababu ukitafakari Kwa kina utagundua mafundisho mengi ya Dini hizi yapo kinyume Na uhalisia wa sifa ZA Mungu.
Hivi Kwa mfano unaposema kwamba siku ya mwisho watenda dhambi wote watatupiwa kwenye ziwa la Moto huko Jehanamu halafu at the same time unasema Mungu anajua yaliyopita yaliyopo Na yajayo huoni kwamba una fanya Mungu aonekane Ni mkatili kwamba Kwa Sababu watakao kwenda jehanamu Alisha wajua hata kabla walizaliwa ?
Anyways leo hiyo sio hoja yangu ila hoja yangu Ni kwamba dhana ya uwepo WA jehanamu Ni dhaifu Kwa Sababu zifuatazo:
1. HAKUNA BINADAMU MWENYE UWEZO WA KUMKASIRISHA MUNGU: WAAMINI jehanamu wanatoa hoja kwamba watenda dhambi mtatupwa jehanamu kwa Sababu mtakuwa mmemkasirisha Mungu.ARE U SERIOUS? Ukisema unaweza kumkasirisha Mungu maana yake Ni kwamba wewe una uwezo wa kuko control hisia za Mungu. Kwamba wewe una nguvu Sana kiasi kwamba una uwezo kumfanya Mungu akasirike kitu ambacho hakiwezekani.
2. GOD CAN NEVER BE SURPRISED BY ANYTHING.
Watetea jehanamu Ni kama wanasema kwamba siku ya mwisho God will be like " HE! HE! HE! DAH YANI NYINYI BINADAMU NDIO MMEFANYA MAKOSA MAKUBWA KIASI HIKI? HAPANA HAPANA HAPANA. WOTE MTAKWENDA MOTONI NYIE!!!
Yani Ni kama vile Mungu atakuwa surprised Na ukubwa WA dhambi zenu kiasi cha kumfanya awatupie jehanamu.
Hakuna kinacho weza kum surprise Mungu. Hakuna kipya chini ya jua.
Hivi Kwa mfano KAMA MIMI TU BINADAMU NIKISIKIA MTU KAMUUA NDUGU YAKE KWA SABABU YA PESA WALA SISHANGAI KWA SABABU NAONA NI JAMBO LA KAWAIDA UNADHANI MUNGU ANAWEZA KUWA SURPRISED NA MATENDO AMBAYO HATA BINADAMU AKIYASIKIA HAWEZI KUWA SURPRISED?
Matter fact Mungu anajua yaliyopo yaliyopita Na yajayo so Hakuna kinacho weza Ku msurprise.
So hoja ya uwepo WA jehanamu Ni dhaifu
# best comment ever