KERO Udhaifu wa Kimfumo TRA unavyotufanya wafanyabiashara tuonekane Matapeli. Mizigo iliyoletwa haijatoka tangu tarehe 20/1/2025

KERO Udhaifu wa Kimfumo TRA unavyotufanya wafanyabiashara tuonekane Matapeli. Mizigo iliyoletwa haijatoka tangu tarehe 20/1/2025

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,778
Reaction score
7,145
Wana JF

Kumekuwa na ucheleweshwa wa mizigo iliyokuja na ndege hasa zile za mashirika kama DHL. Toka tarehe 20/01 mizigo haina manifestation wala documents.
 
Wana JD

Kumekuwa na ucheleweshwa wa mizigo iliyokuja na ndege hasa zile za mashirika kama DHL. Toka tarehe 20/01 mizigo haina manifestation wala documents.
Kaa uandike kwa ufafanuzi vizur kwenye kichwa cha habari umetumia maneno ya udhaifu wa kimfumo, kuonekana matapeli, ila kwenye maelezo yako haielezi je huo udhaifu TRA wamekiri hivyo au ni wewe kisha unaonekana tapeli?
Ukiingia humu jipange kuelezea hoja yako ieleweke sio kulalamila huku unakimbia!!
 
Wana JF

Kumekuwa na ucheleweshwa wa mizigo iliyokuja na ndege hasa zile za mashirika kama DHL. Toka tarehe 20/01 mizigo haina manifestation wala documents.
mbona hueleweki maana unasema mizigo haina manifest kwani nani anayetoa manifest hebu tusaidie navyojua siyo tra kwani wao ndiyo waleta mizigo? halafu hujasema wamecheleweshaje nilidhani wamegoma kukupa huduma hebu fafanua vizuri. Mbona bandarini tunatoa mizgo na mfumo ni huo huo? hapa agent wangu kamalizia kulipa kodi nasubiria kulipia tozo za bandari na kupata release order nitoe mzigo wangu
 
Kuna mzigo wangu uliingia tarehe 19 January 2025, nikapigiwa simu niulipie tarehe 20Januari nikalipa. Kesho yake nikaambiwa mzigo wameshindwa kuutoa kwa kuwa kwenye mfumo mpya unasumbua. Siku ya kwanza sikwenda siku ya pili, nikaenda Airport, wakanipeleka kwa jamaa wa TRA , akanionyesga mafail 402 na kuniambia, mfumo Mpya unasumbua. DhL wakaniambia nenda ukitoka tunakuletea. Mpaka leo navigation simu hakuna mzigo umetoka, wateja wangu wananisumbua mno
 
Wana JF

Kumekuwa na ucheleweshwa wa mizigo iliyokuja na ndege hasa zile za mashirika kama DHL. Toka tarehe 20/01 mizigo haina manifestation wala documents.
huku wao wanahela hadi wanaweka special number kwenye magari yao ,nchi ya kifala sana hiyo.
 
Mimi pana gari zipo Tunduma kila nikimpigia Agent hakuna nachomuelewa hela zipo za kulipa TRA hakuna kitu wamefanya Tanzania tuna matatizo sana aisee...
 
Mfumo mpya kuna changamoto zinajitokeza, mwambie Clearing Agent asikae kimya awasiliane na TRA watamsaidia mzigo utoke haraka
 
Tanzania, hakuna kilicho perfect. Hakuna hata kimoja ambacho tunakifanya kwa ukamilifu, isipokuwa kwenye mambo ya hovyo kama uchawa, unafiki, uwongo, na wizi wa kura. Kwenye
wizi wa kura mpaka mataifa jirani yenye udikteta kama wa kwetu, wanatuma watu wao kuja kujifunza toka CCM.

Lakini kwenye mambo mema, hakuna hata moja tunalolimudu kwa 100%.
 
No any shipment cleared
 
Attachments

  • Screenshot_20250201_145015_Gmail.jpg
    Screenshot_20250201_145015_Gmail.jpg
    214.3 KB · Views: 2
Back
Top Bottom