mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Kaa uandike kwa ufafanuzi vizur kwenye kichwa cha habari umetumia maneno ya udhaifu wa kimfumo, kuonekana matapeli, ila kwenye maelezo yako haielezi je huo udhaifu TRA wamekiri hivyo au ni wewe kisha unaonekana tapeli?Wana JD
Kumekuwa na ucheleweshwa wa mizigo iliyokuja na ndege hasa zile za mashirika kama DHL. Toka tarehe 20/01 mizigo haina manifestation wala documents.
mbona hueleweki maana unasema mizigo haina manifest kwani nani anayetoa manifest hebu tusaidie navyojua siyo tra kwani wao ndiyo waleta mizigo? halafu hujasema wamecheleweshaje nilidhani wamegoma kukupa huduma hebu fafanua vizuri. Mbona bandarini tunatoa mizgo na mfumo ni huo huo? hapa agent wangu kamalizia kulipa kodi nasubiria kulipia tozo za bandari na kupata release order nitoe mzigo wanguWana JF
Kumekuwa na ucheleweshwa wa mizigo iliyokuja na ndege hasa zile za mashirika kama DHL. Toka tarehe 20/01 mizigo haina manifestation wala documents.
Kuna mzigo wangu uliingia tarehe 19 January 2025, nikapigiwa simu niulipie tarehe 20Januari nikalipa. Kesho yake nikaambiwa mzigo wameshindwa kuutoa kwa kuwa kwenye mfumo mpya unasumbua. Siku ya kwanza sikwenda siku ya pili, nikaenda Airport, wakanipeleka kwa jamaa wa TRA , akanionyesga mafail 402 na kuniambia, mfumo Mpya unasumbua. DhL wakaniambia nenda ukitoka tunakuletea. Mpaka leo navigation simu hakuna mzigo umetoka, wateja wangu wananisumbua mnombona hueleweki maana unasema mizigo haina manifest kwani nani anayetoa manifest hebu tusaidie navyojua siyo tra kwani wao ndiyo waleta mizigo? halafu hujasema wamecheleweshaje nilidhani wamegoma kukupa huduma hebu fafanua vizuri. Mbona bandarini tunatoa mizgo na mfumo ni huo huo? hapa agent wangu kamalizia kulipa kodi nasubiria kulipia tozo za bandari na kupata release order nitoe mzigo wangu
huku wao wanahela hadi wanaweka special number kwenye magari yao ,nchi ya kifala sana hiyo.Wana JF
Kumekuwa na ucheleweshwa wa mizigo iliyokuja na ndege hasa zile za mashirika kama DHL. Toka tarehe 20/01 mizigo haina manifestation wala documents.
Nilienda mwenyewe DHL wakanipeleka TRA, kote huko mpaka leo tarehe 1/2/2025 mzigo haujatoka.Mfumo mpya kuna changamoto zinajitokeza, mwambie Clearing Agent asikae kimya awasiliane na TRA watamsaidia mzigo utoke haraka