Mr kitwika
New Member
- Aug 22, 2022
- 4
- 0
Pole sana Mkuu hiyo ni dalili ya wewe kupatwa na ugonjwa wa kiharusi aka Stroke disease ugonjwa wa kupooza upande mmoja.Nitafute haraka kw awakati wako kabla ya ugonjwa haujawa mkubwa. Na ugonjwa ukiwa ni mkubwa ni hatari unaweza kulemaa au kupooza upande mmoja wa mwili wako.Jamani naomba msaada na ushauri kwenu, Mkono wa kusho unaniuma unakosa nguvu na mda mwingine unapata ganzi nakosa hamu ya kula na kichechefu Nimepima UTI na MARELIA vyote wamesema sina Naomba kujua inaweza kuwa tatizo gani au nitumie dawa gani inisaidie maana nateseka sana
Ugonjwa wa MoyoJamani naomba msaada na ushauri kwenu, Mkono wa kusho unaniuma unakosa nguvu na mda mwingine unapata ganzi nakosa hamu ya kula na kichechefu Nimepima UTI na MARELIA vyote wamesema sina Naomba kujua inaweza kuwa tatizo gani au nitumie dawa gani inisaidie maana nateseka sana
Sawa nikienda hospitali niwambie wanipime niniUgonjwa wa Moyo
Naomba namba yakoPole sana Mkuu hiyo ni dalili ya wewe kupatwa na ugonjwa wa kiharusi aka Stroke disease ugonjwa wa kupooza upande mmoja.Nitafute haraka kw awakati wako kabla ya ugonjwa haujawa mkubwa. Na ugonjwa ukiwa ni mkubwa ni hatari unaweza kulemaa au kupooza upande mmoja wa mwili wako.
hiyo ni dalili ya tatizo kubwa kama stroke au cadio arrest wahi hospitali upate matibabu mapema, tena ikiwezekana wiki hii anza matibabu, binafsi nimepoteza mzazi wangu kwa tatizo kama hili baada ya kuzembea zembea!