Udhaifu wa TAKUKURU

Udhaifu wa TAKUKURU

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Wakichunguza kesi walizoelekezwa na wanasiasa badala wafuate mfumo wakisheria wanawapelekea Kwanza wanasiasa kuuliza kama wachukue hatua gani?

Nchi nyingine uchunguzi ukikamilika unapata taarifa kamili kupitia vyombo vya habari na hatua zakuchukua. Lakini pia hakuna siku wananchi wanyonge wamewahi kuchunguzwa na chombo hiki then wanasiasa wakapelekewa taarifa, utasikia kwa mbwembwe kabisa amekamatwa iwa rushwa ya kiasi kadhaa au ya ngono na kufikishwa mahakamani.

Je, ni lini chombo hiki kitaweza kutekeleza majukumu yake bila kuangalia fedha, madaraka wala nafasi ya mtu? Leo hii hakuna mtuhumiwa wa report ya CAG aliyehojiwa, wanasubiri Rais aelekeze
 
1. Mkuu mbona kichwa cha bandiko na maudhui ya bandiko havijaoana?

2. Eleza kwanza udhaifu wa TAKUKURU na utuwekee ushahidi juu ya hilo jambo lako ulilolileta mezani.
 
Takukuru wapo wapo tu wakati upigaji unaendelea kwenye kila sekta
 
Hivi unajua TAKUKURU inaweza mkamata mtu,wakawa na ushahidi uliokamilika lakini kumpeleka MAHAKAMANI INAHITAJI UTASHI WA DPP?

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom