Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Mifumo ya TEHAMA Serikalini inalenga kuongeza udhibiti wa makusanyo ya Fedha za Umma, ufanisi wa utoaji huduma za Kijamii, kuongeza Mapato na kuleta tija katika Matumizi ya Fedha ya Umma
Ukaguzi wa CAG ulibaini Mamlaka za Serikali za Mitaa 18 pamoja na baadhi ya Taasisi za Serikali hazina Sera na Mipango Mikakati ya Mifumo ya TEHAMA
Pia, Sera na Mipango Mikakati iliyopo haiendani na Kanuni za Fedha katika Taasisi zilizokaguliwa. Baadhi ya Taasisi zilibainika kuwa na Changamoto ni BAKITA, TGDC, CFR, COASCO, PPRA NA SUWASA.
Sera ya Taifa ya TEHAMA ya 2016 inazitaka Taasisi zote za Umma kuandaa Sera na Mipango Mkakati wa TEHAMA utakaoziongoza katika Matumizi ya TEHAMA