Yusuph Salehe
Member
- Nov 12, 2010
- 58
- 1
Habari zenu wana JF naombeni msaada wenu viungo vyangu vya mwili ni dhaifu sana hasa katika viungio vya mikono pamoja na miguu kiasi kwamba naweza pata ajali ndogo nikavimba,vunjika au kuteguka. Naombeni mawazo yenu nini laweza kuwa tatizo, linasababishwa na nini na nifanye nini kuondokana na tatizo hili?