Udhaifu wa watu wajiitao inspirational speakers/motivational speakers

ShabyGabby

Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
5
Reaction score
2
Hello Tanzania na East Africa kwa ujumla.
Kwa kipindi kirefu sasa kumekuwa na ongezeko la watu mashuhuri kutoka pande tofauti tofauti za dunia ambao kimsingi kupitia vyombo mbali mbali vya habari na mitandao kuelezea namna ambavyo waliweza kutoka katika umasikini uliokithiri mpaka kuwa mabosi(ni jambo zuri)
Baadhi ya watu hawa ni mgunduzi wa mtandao wa kijamii maarufu kama facebook,Bill Gates,Ali baba na wengine wengi.
Nimejaribu kuzisikiliza shuhuda zao juu ya kufanikiwa kwao kwamba ni kipi walifanya na kipi hawakufanya.
Lakini kuna vitu vya msingi wamekua wakijisahau juu ya kufanikiwa kwa mtu kwani unapomweleza mtu kuhusu jinsi ya kufanikiwa ni lazima uangalie vitu kama Sera za nchi,uchumi wa nchi na mwananchi mmoja mmoja,kiwango cha teknolojia,na hata utamaduni pia.Lazima ujue kuwa vitu hivi vinatofautiana kati ya nchi na nchi hivyo unapotoa public speaking lazima uvizingatie na sio kujenerolize .......
ITAENDELEA
 
Tuanze na sera ,ni sera ipi ya nchi iliyokukwamisha wewe na ulifanya nini
 
Viwanda: Serikali inatutoza wananchi kodi kubwa ili watimize wakati walivishindwa
 
Bado inaendelea hivyo vuta subira ndugu ili ujue nini lengo kuu kwan ntajibu maswali yote mwisho wa makala hii.Ahsante
 
ukija ututofautishie na hawa ma MC na wakina mauki
 
Tuanze na sera ,ni sera ipi ya nchi iliyokukwamisha wewe na ulifanya nini
Madini
Sera mpya haitaki upeleke nje Vito bila kuvikata sasa maskini hana kitu katumia mtaji wa nguvu zake unamwambia wa Kara kwanza ndo upeleke Kenya ,yeye anataka auze apate mtaji akigrow ataajiri mkataji
 
Hello Tanzania na East Africa kwa ujumla.
Kwa kipindi kirefu sasa kumekuwa na ongezeko la watu mashuhuri kutoka pande tofauti tofauti za dunia ambao kimsingi kupitia vyombo mbali mbali vya habari na mitandao kuelezea namna ambavyo waliweza kutoka katika umasikini uliokithiri mpaka kuwa mabosi(ni jambo zuri)
Baadhi ya watu hawa ni mgunduzi wa mtandao wa kijamii maarufu kama facebook,Bill Gates,Ali baba na wengine wengi.
Nimejaribu kuzisikiliza shuhuda zao juu ya kufanikiwa kwao kwamba ni kipi walifanya na kipi hawakufanya.
Lakini kuna vitu vya msingi wamekua wakijisahau juu ya kufanikiwa kwa mtu kwani unapomweleza mtu kuhusu jinsi ya kufanikiwa ni lazima uangalie vitu kama Sera za nchi,uchumi wa nchi na mwananchi mmoja mmoja,kiwango cha teknolojia,na hata utamaduni pia.Lazima ujue kuwa vitu hivi vinatofautiana kati ya nchi na nchi hivyo unapotoa public speaking lazima uvizingatie na sio kujenerolize .......
ITAENDELEA
ndugu hivyo ni visingizio tu hakuna chochote kitakachokuzuia katika lengo lako iwe sera au chochote ili kukujibu Elon Musk ni mtu wa Africa kusini alipoona hawezi kutimiza ndoto yake vile anavyotaka akaenda marekani na akaomba uraia haikuwa nyepesi anadai aliomba uraia kwanza wa Canada ndipo marekani sasa nikuulize kwanini useme sera ni tatizo hakuna hicho bali wewe tu
 
ndugu hivyo ni visingizio tu hakuna chochote kitakachokuzuia katika lengo lako iwe sera au chochote ili kukujibu Elon Musk ni mtu wa Africa kusini alipoona hawezi kutimiza ndoto yake vile anavyotaka akaenda marekani na akaomba uraia haikuwa nyepesi anadai aliomba uraia kwanza wa Canada ndipo marekani sasa nikuulize kwanini useme sera ni tatizo hakuna hicho bali wewe tu NI MIMI THE RICHARD 0762612213
.....
Hujajua@Richard ni kipi nazungumzia so stay tuned
 
Bila tu kusoma ilicho andika tayari wewe ni motivational speaker
 
Yaani umeandika paragraph 16 then unasema itaendelea hii inaonyesha ni jinsi gani ulivyo mvivu alafu unazungumza kuhusu hao GT. Ooh boy grow up hata kidogo.These guys wanatupa inspiration ili kututia moyo katika safari hii ngumu lakini yenye mafanikio letter, ilikuonyesha kuwa this journey is possible kama ukiwa na iron skinny. John De Rockefeller alipata kusema"try to change every disaster into opportunities. So haijalishi ni sera ya nchi ama laah unachotakiwa ni kuusoma vizuri mfumo n then unajuwa namna ya kutupa karata zako.Kama kuna wengine wanafanikiwa kupitia hizo sera mbaya kwanini wewe unashindwa?
Life is struggling
 
Mimi naamini ktk kutoboa kiuchumi haijalishi sera za nchi ni mbaya, tujitahidi sana kusoma mfumo wa nchi ukoje ili tupitemo humo humo kufikia mafanikio. Ipo siku tutafikia malengo tu.

Hao matajiri uliowataja hawajawahi kutoa inspirational speech yenye kuakisi mazingira ya Tanzania bali mazingira ya nchi za magharibi na Asia ambazo hazitofautiani sana kiutamaduni na kiakili.

Leo hii hata ukichukua matajiri wa Tanzania na Irani ukawaweka pamoja bado kuna mambo ya kiakili watatofautiana tu.

Ulishawahi kujiuliza kwanini matajiri wakubwa wa kitanzania wana asili ya Asia?
 
Back
Top Bottom