Udhalilishaji: Video ya PNC akimuomba msamaha Ostaz Juma na Musoma


Daah!c vyema kabisa
 
Last edited by a moderator:
Haramu ni kuabudu sanamu la mzungu! Na picha yake!

Muziki ni ktk matendo yaliyokatazwa ktk uislamu na mwenye kutafanya hastahili kuitwa Ustadh!

Lkn all in all HAKUNA HARAMU KUBWA KAMA KUABUDU SANAMU NA PICHA YA MZUNGU!

ila ustaadhi kumiliki wasanii wa bongo fleva ni... jazakallahurkheri!!! maalim
 
Wadua uki angalia sanaa utagunduwa uyu msanii(pnc ) kama kidogo dish limeyumba
 

mi sio dem wake lakn nishahisi kua anamegwa na ustadhi Juma..hahah haiwezekan yan mtu apige hadi goti...hapa lazma kitu cha tigo kinahusika
 
PNC pimbi tu hana akili hata kidogo yaan hawa wasanii ambao shule zero kama hiyo kenge PNC ndo lazma asujudu kinyume na hapo hana akili nyingine nilijinga na meno yake ka ngurue
mkuu hapo umekosea kiukweli futa kauli yako tafadhari nakuomba..........
 
ila ustaadhi kumiliki wasanii wa bongo fleva ni... jazakallahurkheri!!! maalim

Kijana usiniletee maswali ya kitoto.

Kumiliki wasanii ndio kuwafanya nini sasa!

We umeshaambiwa muziki haufai! Halafu unauliza je! Kumiliki wasanii!?

Sasa hao wasanii unawamiliki ili uwafanye nini! Wawe wanakupikia ugali au!

Mnfnsssssssss!
 
Si alimuimba Bosi wake kuwa ana sura mbaya? Hata mi sikupenda kitendo cha PNC kutamka hivyo kwenye wimbo wake
 
Acheni longo longo bana,mtu akijutia makosa yake lazima aombe msamaha!Mbona Kafulila alimpigia magoti Mbatia tena akilia kama kitoto kidogo!Mwacheni atajifunza taratibu jinsi mwanaume anatakiwa awe.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
.... Nashukuru huyu ustadh juma hakuna msanii wa kike anaemmnage maana sipati picha kabisa kama wa kiume wanawafanyia hivi wa kike je?..
 
bora boss wangu anaendesha mambo yake kisasa..meneja yupo chin yake siyo yeye awe chini ya meneja..
yeye ndio kamwajiri meneja..si wa kumpelekesha pelekeshan kinjaa njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…