Thuwaiba Habibu
Member
- Oct 8, 2024
- 8
- 5
Kila siku kunatolewa taarifa za udhalilishaji baada ya kupungua ndio unaongezaka
Hukumu zinaongezwa lakini bado binaadamu hawashituki na hukumu hizo
Wadau wanaweka makongamano kujadili hili ili wajuwa tatizo ni nini bado wana majibu yale wanawake hawajistri,mporomoko wa maadili.
Akidhalilishwa binti wa makamo yaani mwari au mtu mzima amejipeleka,wanamakubaliano
Udhalishaji ukitojea kwa watoto wachangawanakuwa wamejipeleka au aliyewafanyia udhalilishaji amamua kuwafanyia tu
Waungwana tujadili hili suala vipi linaweza kupunguwa na kutoweka kabisa ?