Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Wandugu, kuna andiko moja nimelisoma la Tito Magoti, nimelielewa na to declare interest, nilishawahi kufanya kazi kwenye utumishi wa uma kwenye hizo coercive organs....jambo moja la muhimu sana kama nchi tunatakiwa kufika mwisho na lisifanyike tena kwasababu tumelirithi tangu enzi wa ukoloni. nalo ni mwanaume kuvuliwa nguo zote unapoingia magereza, kuambiwa uchuchumae wakiamini umeficha vitu kwenye tigo uruke kichurachura n.k. just try to imagine, kwa wale ambao walishawahi kupelekwa mahabusu gerezani au wafungwa, leteni ushuhuda wenu hapa, tuungane kutokomeza hiki kitu.
1. vua mkanda na toa vitu vyako vyote mapokezi
2. toa nguo ubaki uchi
3. chuchumaa na urukeruke kichura
4. kohoa (ili kama umeingiza kitu tigoni kichomoke)
5. kupigwa sana ukikosea
6. kunyimwa ration ya chakula kama adhabu
siku zote nilikuwa najiuliza kwanini mahabusu wanawaheshimu na kuwaogopa zaidi askari magereza kuliko hata polisi? mahabusu au mfungwa anaweza kujibizana na polisi ila sio magereza.....kumbe mambo yaliyofanyika enzi za ukoloni ambayo nchi za kistaarabu hazifanyi, sisi bado tumeshikilia.
kuna siku nilisikia kama Sugu na Msigwa pia walifungua shauri Mahakama Kuu kutokana na namna walivyodhalilishwa walipokuwa magereza. wenye ushuhuda, ambao walishawahi kwenda gerezani tafadhali tujuzeni.