ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
sasa haya ndio mambo wanachadema tunategemea wayasemee ili kuteketeza unyanyasaji huu. nimeandika huu uzi baada ya kufanya research, na kusikia kwadogo mmoja anaitwa Tito magoti aliandika barua fulani kwa rais...dogo alikuwa gerezani na ameandika mengi sana ya gerezani....inaumiza sana.
cha muhimu ni kwamba mtuhumiwa awe treated kama mtuhumiwa, na mfungwa kuna sheria zake za kumtreat atumikie kifungo chake na asinyenyaswe na kunyimwa haki zake nje ya sheria. huu utaratibu unatakiwa ufuatiliwe na ufutwe.Muhimu wote, Watanzania wote tuhimize utaratibu huu mengine mengi kama mateso, kupiga watu, kunyimwa chakula, ulawiti, kuwajaza watu wengi kama sisimizi sehemu ndogo yaondololewe.
kama hilo linatokea, kwa kweli ni unyama wa hali ya juu sana.MBNA hujasema wanavolazimisha watu wajisaidie haja kubwa hadharani Ili wakague Kama wameficha kitu, Kuna siku nipo mahakama flan nikamsikia afande mmoja wa kike akiwahimiza wale wanaotarajia kwenda mahabusu wale washibe Ili wapate choo sababu ukijifanya huna haja kubwa yanaweza kukuta mengne!!!
nchi zilizostaarabika hazifanyi hayo mambo kabisa.Ni mambo yaliyopitwa na muda
Mimi nilishafanya uamuzi.Siku nikifika Gerezani,Nitatoa viatu,na Mkanda tu.Nguo nyingine lazima watumie nguvu.Na askari atakayetumia nguvu kunivua nguo atakuwa adui yangu binafsi.
Inawezekana vipi mtu alione anga ila ashindwe kuliona jua, wakati jua lipo angani?Hao wakoloni pia wana maximum security prisons ambazo mfungiwa hungiwa humo masaa takriban 23 siku nzima huku wakizungushiwa kuta ndefu mno zenye madirisha madogo huko hewani, kiasi ambacho mfungwa humaliza hata miezi hajaliona jua isipokuwa anga tu.
Inawezekana sana tu kulingana na gereza lilivyojengwa.Inawezekana vipi mtu alione anga ila ashindwe kuliona jua, wakati jua lipo angani?
Tuseme mwl nae ni mwanafunzi,,,Daktari nae ni mgonjwaAskari magereza naye ni mfungwa huru tu, duni nzima hawa wamelaaniwa kasoro nchi za Scandinavia ndio wanajuwa thamani ya binadamu.