Mkuu usikubali kutekwa na wapumbavu wachache wanaotugawa. Sio culture, wala jiographia inayotutofautisha tusio waislamu na waislamu. Waislamu ni sawa na wewe, wana upendo kama wewe, wana akili kama wewe, ni wastaarabu kama wewe, na uislamu ni upendo. Kitu ambacho tunapaswa kujua ni kuwa kuna watu wachache kwa maslahi yao binafsi wanautumia uislamu kuwagawa watanzania, na hata watu wa mataifa mengine.
ntakuja kucomment tena baadae kidogo GAIDI WAKUBWA NYIE kila siku kuonewa nyie tuuu................watu mnakwenda madrasa tuu mnataka haki sawa, shabaash!