Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masomo yapi ya sayansi na Loan board hukuomba?Wakuu naomba kwa yeyote anae fahamu ikiwa ni mtu binafsi, shirika, taasisi ama kampuni inayodhamini watu elimu ya chuo kwa mashart nafuu especially ktk masomo ya sayansi naomba kujuzwa TAFADHALI.
Pole sana ndugu miaka 8 iliyopita nilipitia hali kama yako. Nilikuwa na laki na nusu pekee nikajitoa mwanga kwenda chuo cha serikali co, nilipambana mpk nikamaliza chuo bila kudaiwa.Kwenye kada ya afya mkuu maks zangu zinaniruhusu kusoma diploma ila sasa school fees imekuwa mtihan ndio maana natafuta sponsorship!!!
Au loan board wanatoa hata kwa diploma???
Nipe process mkuu!!!Pole sana ndugu miaka 8 iliyopita nilipitia hali kama yako. Nilikuwa na laki na nusu pekee nikajitoa mwanga kwenda chuo cha serikali co, nilipambana mpk nikamaliza chuo bila kudaiwa.
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
Ulipambanaje mkuu kwa laki na nusu mkononi? Najua vyuo vya afya ada ni kuanzia milioni na kuendelea tena vya serikali. Ukizingatia msosi anajitegemea mwanafunziPole sana ndugu miaka 8 iliyopita nilipitia hali kama yako. Nilikuwa na laki na nusu pekee nikajitoa mwanga kwenda chuo cha serikali co, nilipambana mpk nikamaliza chuo bila kudaiwa.
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
Ni story ndefu na Mkono wa Mungu umechangia maana nilizunguka kuanzia Kwa Mkuu wa Wilaya, Diwani wa huko mpk wizara ya Afya, Mwaka wa kwanza nikapata Sponsor kutoka kwa diwani. Second yr na 3rd yr Sponsor kutoka Wizara ya Afya.Ulipambanaje mkuu kwa laki na nusu mkononi? Najua vyuo vya afya ada ni kuanzia milioni na kuendelea tena vya serikali. Ukizingatia msosi anajitegemea mwanafunzi
Aaa kweli ulipambana sio kidogo.Ni story ndefu na Mkono wa Mungu umechangia maana nilizunguka kuanzia Kwa Mkuu wa Wilaya, Diwani wa huko mpk wizara ya Afya, Mwaka wa kwanza nikapata Sponsor kutoka kwa diwani. Second yr na 3rd yr Sponsor kutoka Wizara ya Afya.
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
WapoDaah ulipambana mkuu hv kwa Sasa wanaweza kuwepo hawa viumbe wenye kuguswa na mambo kama haya kweli na sisi tujaribu?