herzygovina mwangosi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 900
- 431
Habari ndugu wanajamvi,na mdogo wangu aliyechaguliwa Bachelor in Medicine pale Herbat Kailuki.
Nilikuwa naomba kujua kama kuna mtu anajua agency(ies) ambazo zinawezakutoa udhamini ili kuweza kumsomesha huyu mdogo wangu.
Ntashukuru
Nilikuwa naomba kujua kama kuna mtu anajua agency(ies) ambazo zinawezakutoa udhamini ili kuweza kumsomesha huyu mdogo wangu.
Ntashukuru