Udhamini katika masomo ya medicine(bachelor)

herzygovina mwangosi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
900
Reaction score
431
Habari ndugu wanajamvi,na mdogo wangu aliyechaguliwa Bachelor in Medicine pale Herbat Kailuki.

Nilikuwa naomba kujua kama kuna mtu anajua agency(ies) ambazo zinawezakutoa udhamini ili kuweza kumsomesha huyu mdogo wangu.

Ntashukuru
 
tembelea website ya wizara ya afya uone maana huwa kuna hizo nafasi zinatangazwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…