kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Mkuu usiumie kwa kitu ambacho hata kilo ya unga hakikuletei kwenye familia yako. Watu wanaendesha timu kihuni kwa maslahi Yao alafu niumie Mimi? Haitotokea japo mm ni mwana Simba. Waache waendelee na janja janja hizo watavuna walichopanda.Kwanini usitusaidie kwenye usajili achilia zile bilioni 20 za Mwamedi. Hizi 26 zinasaidia vipi timu yetu?
Tunaumia sisi mashabiki. Suala la ngada mbona hamjaomba radhi Ili tujisafishe japo kidogo kwenye hili?
Mabilioni ya udhamini yapo wapi?
Kwani tuna wadhamini wangapi? Je pesa wanayotoa hao wadhamini achilia mbali zile bilioni 20 sizingetosha kununua hata mshambuliaji mmoja? Punguza ngada ndo mnafanya tunaitwa ngada fcKondomu ingetumika, mtu kama huyu asingekuwepo...
Udhamini wowote ule hupewi hela zote kwa mkupuo.
Kuna uwezekano unapewa kwa mwezi, robo, mwaka
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
uko kwa kibu denisKwanini usitusaidie kwenye usajili achilia zile bilioni 20 za Mwamedi. Hizi 26 zinasaidia vipi timu yetu?
Tunaumia sisi mashabiki. Suala la ngada mbona hamjaomba radhi Ili tujisafishe japo kidogo kwenye hili?
Mabilioni ya udhamini yapo wapi?
BalaaHio ni draw tu imeleta yote haya