Huyo J Rutty amesoma upepoWewe kweli ni mtu wa mpira
Hizi timu za Kariakoo zinawaingizia hela nyingi sana baadhi ya Wajanja wanaozitumia
Hapo kwenye uwanja wakifanikiwa kujengewa, halafu Injinia Hersi na GSM wakaendelea kutikisa tu masikio yao; hakika itakuwa ni fedheha kubwa!Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, tukiachana na utani wetu wa jadi wa hapa na pape ila mtani katisha
Mtani Leo amepata ufadhili mkubwa mno, billion 38 Kwa miaka 5 ni pesa ndefu mno,
Simba ina wastani wa kuvuna billion 7.6 Kwa kila mwaka. Ambayo ni pesa ndefu kiukweli
Nimeshtuka kusikia kuwa mbali na udhamini huu, kampuni ya Jay Ruty imeahidi
1. Kuwajengea Simba uwanja wa kubeba mashabiki elfu 10 hadi 12
2. Kutoa million 100 Simba day kila mwaka
3.kutoa million 100 kila mwaka kufadhili timu ya vijana
4. Kuwanunulia Simba bus la kifahari aina ya IRIZAR
5 kuwajengea Simba ofisi za kisasa
6 kujenga Media production room
7 fedha za motisha Kwa wachezaji 470milion
8. Medical center
9.kusajili mchezaji yeyote mkubwa kila msimu, ambaye atakuwa kipenzi cha mashabiki
Yaani kwamba wana Simba wakisema mshushe Mayele, chap anasain
Hii proposal mtu mwenye akili timamu huwezi kuikataa
Kusema ukweli Simba wamepata udhamini wa maana
Soma Pia: Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY mzabuni wa utengenezaji Jezi
Sisi Young Africans Kwa GSM ni mfadhili mzuri ila kama hawezi kutuweka wazi na kufanya mambo yaonekane wazi Kwa maandishi na makubaliano basi afanye machache, ila waje wawekezaje wangine wawekeze
Yanga tunatamani mazuri kama haya
Hongera sana Simba sc
Endapo Mambo yatakuwa hivi basi Simba itakuwa timu nzuri kiuchumi
Hatutaki kujua ni Tsh ngapi kwani yeye mbona hasemi anapata faida kiasi gani kupitia Yanga. Tunachotaka timu ijengewe uwezo iache kumtegemea.Unajua camp ya avic town kwa mwezi gsm analipa shilingi ngapi?
Haliko vizuri kivipi? Mbn klabu inanufaika Tsh 1,300 kwa kila jezi moja itakayouzwa na mzabuni mkuu GSM ambaye pia ni mfadhili anayetoa mamilion yake bila kujifikiria ili tu wanayanga wafurahiWamejitahidi, kiukweli kuna mambo Yanga hayako vizuri. Mojawapo ni hilo la jezi. Tupo kimya sababu timu inafanya vizuri.
😂😂Kwa mara ya kwanza akili Yako imeanza kuchaji
Huenda hiyo itawasaidia kwenye kuongeza mauzo ya Kampuni yaoHuyo J Rutty amesoma upepo
Kampuni yake itakuwa maarufu
Kabla hatukumjua j Ruty ila Sasa kila mtu anafatilia hii campun
Saa mbovu Kuna siku inasema ukweliKwa mara ya kwanza akili Yako imeanza kuchaji
mtani Shadeeya una maoni gani??Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, tukiachana na utani wetu wa jadi wa hapa na pape ila mtani katisha
Mtani Leo amepata ufadhili mkubwa mno, billion 38 Kwa miaka 5 ni pesa ndefu mno,
Simba ina wastani wa kuvuna billion 7.6 Kwa kila mwaka. Ambayo ni pesa ndefu kiukweli
Nimeshtuka kusikia kuwa mbali na udhamini huu, kampuni ya Jay Ruty imeahidi
1. Kuwajengea Simba uwanja wa kubeba mashabiki elfu 10 hadi 12
2. Kutoa million 100 Simba day kila mwaka
3.kutoa million 100 kila mwaka kufadhili timu ya vijana
4. Kuwanunulia Simba bus la kifahari aina ya IRIZAR
5 kuwajengea Simba ofisi za kisasa
6 kujenga Media production room
7 fedha za motisha Kwa wachezaji 470milion
8. Medical center
9.kusajili mchezaji yeyote mkubwa kila msimu, ambaye atakuwa kipenzi cha mashabiki
Yaani kwamba wana Simba wakisema mshushe Mayele, chap anasain
Hii proposal mtu mwenye akili timamu huwezi kuikataa
Kusema ukweli Simba wamepata udhamini wa maana
Soma Pia: Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY mzabuni wa utengenezaji Jezi
Sisi Young Africans Kwa GSM ni mfadhili mzuri ila kama hawezi kutuweka wazi na kufanya mambo yaonekane wazi Kwa maandishi na makubaliano basi afanye machache, ila waje wawekezaje wangine wawekeze
Yanga tunatamani mazuri kama haya
Hongera sana Simba sc
Endapo Mambo yatakuwa hivi basi Simba itakuwa timu nzuri kiuchumi
Avic town ni mradi wa GSM. So yanga wanamlipa GSM gharama za kambi kuanzia malazi, gym, chakula na sport facilities zote. KalaghabahoUnajua camp ya avic town kwa mwezi gsm analipa shilingi ngapi?
Subiri ahadi zitimizwe kwanza. Wabongo kwa maneno tushawazoea.Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, tukiachana na utani wetu wa jadi wa hapa na pape ila mtani katisha
Mtani Leo amepata ufadhili mkubwa mno, billion 38 Kwa miaka 5 ni pesa ndefu mno,
Simba ina wastani wa kuvuna billion 7.6 Kwa kila mwaka. Ambayo ni pesa ndefu kiukweli
Nimeshtuka kusikia kuwa mbali na udhamini huu, kampuni ya Jay Ruty imeahidi
1. Kuwajengea Simba uwanja wa kubeba mashabiki elfu 10 hadi 12
2. Kutoa million 100 Simba day kila mwaka
3.kutoa million 100 kila mwaka kufadhili timu ya vijana
4. Kuwanunulia Simba bus la kifahari aina ya IRIZAR
5 kuwajengea Simba ofisi za kisasa
6 kujenga Media production room
7 fedha za motisha Kwa wachezaji 470milion
8. Medical center
9.kusajili mchezaji yeyote mkubwa kila msimu, ambaye atakuwa kipenzi cha mashabiki
Yaani kwamba wana Simba wakisema mshushe Mayele, chap anasain
Hii proposal mtu mwenye akili timamu huwezi kuikataa
Kusema ukweli Simba wamepata udhamini wa maana
Soma Pia: Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY mzabuni wa utengenezaji Jezi
Sisi Young Africans Kwa GSM ni mfadhili mzuri ila kama hawezi kutuweka wazi na kufanya mambo yaonekane wazi Kwa maandishi na makubaliano basi afanye machache, ila waje wawekezaje wangine wawekeze
Yanga tunatamani mazuri kama haya
Hongera sana Simba sc
Endapo Mambo yatakuwa hivi basi Simba itakuwa timu nzuri kiuchumi
Wakati unaandika hapa wenye akili mlikuwa wa3 ila baadae ukajitoa tena kwa wenye akili.Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, tukiachana na utani wetu wa jadi wa hapa na pape ila mtani katisha