L LAPTOP BOY Member Joined Feb 28, 2012 Posts 13 Reaction score 0 Sep 1, 2014 #1 Nimepangiwa K'S Royal college of medicine kipo mbeya. Kwamujibu wa cas kuwa kuna utaratibu wa kuomba udhamini kutoka Global fund na nk ,sasa me sielewi nianzie WAP? msaada waku.
Nimepangiwa K'S Royal college of medicine kipo mbeya. Kwamujibu wa cas kuwa kuna utaratibu wa kuomba udhamini kutoka Global fund na nk ,sasa me sielewi nianzie WAP? msaada waku.