Mara kadhaa tumekuwa tukiona mali zilizokua chini ya serikali hapo nyuma zikikabidhiwa kwa wawekezaji kwa mikataba mbalimbali kuhakikisha zinaleta matunda kwa taifa. Unadhani ni kwanini miradi na ardhi iliyokuwa ikisimamiwa na serikali badae hukabidhiwa kwa wawekezaji?
Naam JIBU ni kwamba wawekezaji huja na ofa kubwa kwa umiliki, umiliki hukaa nakuangalia ofa ya muwekezaji ikiwa nafaida kwao hususa ikiwa inawapa faidi zaidi ya mwanzo au mara mbili ya mwanzo basi serikali huridhia na kumpatia muwekezaji eneo hilo na mara nyingi ofa za wawekezaji huja nakiasi kikubwa kuliko kile ambacho wamiliki hukusanya kwa mwezi ili kushawishi.
Je unadhani muwekezaji hata fanya biashara ya hasara kwanini analeta ofa yakulipa hela nyingi ambayo wamiliki hawaipati soma mfano chini upate kuelewa faida iko wapi kwao
Mfano Hoteli ya serikali inawasilisha mapato milioni 68 kwa mwezi lakini kiuhalisia inakusanya milioni 145 na milioni 77 hupotea kutokana na usimamizi mbovu wa hoteli wafanyakazi huiba kiasi kadhaa na muwekezaji anakuja anatoa ofa ya millioni 75 kila mwezi miliki inaona nifaida kubwa kutoka millioni 68 ambayo hupata kwa mwezi hadi millioni 75 ambayo muwekezaji atakua akiipatia yenyewe huesabu faida ya millioni 7 ambayo imeongezeka kumbe muwekezaji atapata millioni 145 ambayo akitoa millioni 75 ambayo atakua akiwalipa atabaki na millioni 70 kama faida ambayo pia wamiliki wangeweza kuipata nivile tu mfumo wa ukaguzi na usimamizi nimbovu una ruhusu uizi wa mapato ndani ya utawala unakuta manager ataiba kidogo.
Wafanyakazi wataiba kidogo bado mhuhasibu nae aibe kwaiyo kwa mwezi unajikuta millioni 77 zimepotea kwajili ya uizi mdogo mdogo
Kwahiyo tunaona kwamba faida ipo kubwa kwa muwekezaji ila miliki hailioni ilo kutokana na uizi mdogo mdogo unaofanyika ndani mwisho wasiku kuja kifika kiasi kikubwa cha mapato ambacho kinepotea kupelekea kuona kuendeaha biashara au shughuli flani ni hasara nibora kumkabidhi muwekezaji awekeze yeye mwisho wa siku alete asilimia kadhaa kumbe si kweli ni usimamizi tu mbovu na ukaguzi dhaifu usio ona mapungufu kwenye kuifadhi fedha
Kwa serikali ya Tanzania huwa na CAG "mkaguzi mkuu wa serikali" huyu hubaini wizi na ufujaji wa fedha wa sehemu mbalimbali nakuuwasilisha nadhani hapo pana thibitisha point yangu kwamba pesa nyingi hupotea kutokana na uizi mdogo mdogo nadhani ni muhimu kwa serikali kuanza kuchukua hatua na uchunguzi na mwisho mahakama kutoa hukumu juu ya tuhuma zote zinazo bainika kufuja na kuiba mali ya umma kwani kukalia kimya taarifa za upotevu wa mali ambao CAG hutoa inawajengea wananchi imani hafifu kwa uongozi na spirit yakuiba mali ya uma kujua kua hakuna hatua yeyote itachukuliwa mbona hata wao huiba ndomana hata swala la risiti kwenye limekua na janja janja nyingi unakuta hadi raia anashiliki kutopewa risiti ili apunguziwe bei
Tujifunze uzarendo wakutochukua mali ya umma tunapofanya kazi kwenye vitega uchumi vya taifa kwani ata waenga walisema CHOVYA CHOVYA HUMALIZA BUYU LA ASALI ...wewe ukiiba kidogo mwenzako nae aibe na yule nae aibe tunajikuta hakuna faida kwa vitega uchumi vya serikali mwisho wake uongozi kushawishika kumkabidhi muwekezaji ... UZARENDO nijambo muimu kufika mbali tuipende nchi yetu ...tutamani kuona nchi ikifika mbali nakufika uchumi wa juu nchi ikifika mbali basi nawananchi wake wanakua namakadirio makubwa yakipato
Naishauri serikali kuweka udhibi na usimamizi mkali kwenye maeneo yote ambayo yanatumika kukusanya pato lataifa kwajili yakukuza uchumi wa taifa

Upvote
0