Ni muhimu sekta ya viwanda nchini hasa vile vya nguo vikaja na mpango kazi maalumu wa kuzalisha PPEs haswa masks za N95 ,COVERALL GOWNS ,BOOTS,GOGGLES,N.K
Wazo Zuri, Serikali ilipaswa haraka itoe fungu zitengenezwe sanitizers za kutosha na zigawiwe bure kwa wananchi..
Yale Magari ya washawasha ya polisi yako mengi sana, inaweza kufanyika quick engineering design kwenye tank zake na pumps yakaanza kupita mitaani kumwagilia dawa..
Ni muhimu sekta ya viwanda nchini hasa vile vya nguo vikaja na mpango kazi maalumu wa kuzalisha PPEs haswa masks za N95 ,COVERALL GOWNS ,BOOTS,GOGGLES,N.K