Bizo ALBERT ROBERT
New Member
- Jul 1, 2023
- 1
- 0
USULI NA UHALALISHAJI
MBINU/NJIA ZA MRADI.
Kwa Kufanikisha mradi huo utasindikizwa na kauli mbiu mbalimbali kama vile “TAKA NI MALI TUNZA MAZINGIRA UINUE KIPATO''
"DAR ES SALAM SAFI INAWEZEKANA KILA NYUMBA IWAJIBIKE “
"NYUMBA NI USAFI USICHUKULIE POA” Hii itasaidia kila kaya binafsi kushiriki kikamilifu katika ukusanyaji wa taka na pia mchakato mzima. itafanywa kupitia;
Udhibiti wa taka ngumu ni muhimu kwa afya na ustawi wa mazingira. Kadiri ukuaji wa miji unavyoendelea na matumizi ya kimataifa yanaongezeka. Jiji la Dar as salaam linakabiliwa na changamoto mbalimbali za udhibiti, ukusanyaji, uhamisho, usindikaji na utupaji wa taka ngumu.Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2012 jumla ya wakazi wa Dar as salaam walikuwa milioni 4.3 na ilikadiriwa kuzalisha jumla ya takataka kwa siku tani 4600 lakini jiji linaweza kuzalisha tani 12,000 kwa siku ifikapo mwaka 2025.
Udhibiti wa taka ngumu umesalia kuwa tatizo tangu uhuru kwani kasi ya utupaji taka inakua vizuri kutokana na changamoto kadhaa. Miaka ya 1960 Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam ukusanyaji wa taka ulikuwa 5.5% tu kutokana na ukosefu wa fedha, vifaa duni, ukosefu wa wafanyakazi wenye ujuzi na maeneo yasiyofaa ya kutupa. Halmashauri ya jiji ilijaribu kutafuta suluhu na katika miaka ya 1980 ilivutia Misaada ya Kigeni ambao walileta makontena ya taka na malori ya taka lakini yote haya yaliharibika kutokana na ukweli kwamba hakuna utaalam uliohusika ingawa wafadhili wengi walihusika na huduma za usimamizi wa taka ngumu zilibinafsishwa.
Katika miaka ya 2000 kiwango cha utupaji taka kiliongezeka hadi 30% kwa sababu biashara ndogo ndogo na biashara kubwa ziliruhusiwa kushiriki katika huduma za usimamizi wa taka ngumu. Changamoto inakuwa kwa malipo ya umma kwa vile makampuni yalikusanya malipo moja kwa moja kwa umma na wateja kwa ujumla jambo ambalo linasababisha upinzani kutoka kwa umma.
Ingawa leo kuna makampuni mengi yanayotoa huduma za usimamizi wa taka katika jiji zima ambapo inakadiriwa kiwango cha utupaji taka hadi asilimia 40, tatizo bado ni kubwa na wananchi bado wanalipia taka, badala yake taka zinatakiwa kuthaminiwa kwa kulipa na kuzipeleka kaya hadi kaya. kwamba mtu binafsi atatumia kama fursa ya kukusanya fedha ambayo moja kwa moja itasaidia kukusanya kutoka mizizi na kubadilisha mazingira ya jiji.
LENGO KUU LA MRADI
kufanya taka ngumu na taka za kikaboniki kama bidhaa ya thamani kuanzia ngazi ya kaya.
ATHARI/ FAIDA ZA MRADI
> itachochea kaulimbiu ya sasa ya kitaifa ambayo ni "KUTUMIA MBINU MBADALA"
hii inamaanisha kuwa inabidi tukubaliane na hali halisi ya dunia kwa sbabu kutokana na janga kubwa la mabadiliko ya hali ya hewa kutokana na wananchi kualibu mazingira. Ivyo basi yatubasi kuachana na kutumia mkaa au kuni kwenye kupikia na kuanza kutumia mbinu nyingine kwenye kupika na matumizi mengine vilevile mbinu mbadala itapelekea kwa kuwa chanzo cha bidhaa na malighafi mbalimbali kama vile mkaa, nishati, mbolea pamoja na chakula cha samaki na wanyama wa nyumbani.

itatengeneza nafasi nyingi za ajira. kutokana na uhaba wa ajira kuwa kubwa sana hapa nchini na vijana wengi wanaomaliza vyuo vikuu na vya kati kukosa ajira mradi huu utatengeneza soko kubwa sana la ajira kwa watu wengi mno kwa kupitia makampuni kuajiri watu kupitia mradi huu au vilevile watu wenyewe kujiajiri kwenye mradi huu. Pia uchumi nao utakuwa na utegemezi kwa watu utapungua kwa sababu vijana wengi watakuwa na sehemu ya kupatia riziki.
Pia itaongeza kiwango cha ushiriki wa ukusanyaji taka katika ngazi ya mtu binafsi kwa kuwa wanajamii watakuwa wakitarajia kupata pesa kwa kubadilishana na taka. Hii itashawishi kila mmoja wetu kuweza kutunza au kuifadhi tako maeneo yoyote yake iwe ni maeneo ya nyumbani au kazini sehemu yoyote ile ambayo takataka zinazalishwa kwa sababu wananchi watakuwa tayari na mori kwa sababu taka taka zitakuwa zimepewa thamani kwa ujumla .
MBINU/NJIA ZA MRADI.
Kwa Kufanikisha mradi huo utasindikizwa na kauli mbiu mbalimbali kama vile “TAKA NI MALI TUNZA MAZINGIRA UINUE KIPATO''
"DAR ES SALAM SAFI INAWEZEKANA KILA NYUMBA IWAJIBIKE “
"NYUMBA NI USAFI USICHUKULIE POA” Hii itasaidia kila kaya binafsi kushiriki kikamilifu katika ukusanyaji wa taka na pia mchakato mzima. itafanywa kupitia;
Uundaji/uhanzishwaji wa vituo vya mtengano wa taka za kikaboni. Kwanza hii itasaidia kwa watu ambao wanakuja kuchukua takataka kwa sababu taka za kikaboniki zitakuwa pekeyake na taka ngumu zitakuwa sekeyake hasahasa majumbani ambapo asilimi 80% ya taka za kikaboni zinatokea uko na vilevile kuwepo kwa vitu kama hivi vya ukusanyaji wa taka za kikaboniki utasaidia tatizo la tako majumbani kuisha kabisa kama sio kupungua na vituo hivi itabdi vijengwe kalibu na maeneo ya watu ila wanachi wasipate tabu ya kupeleka taka zao sehemu mbali. Ivo basi kwa ushilikianao na serikali ya mtaa au kijiji au ata manispaa itasaidia mradi huu kukamilika.
Uundaji wa vikundi vidogo vya ukusanyaji taka na utoaji wa elimu kutoka nyumba hadi nyumba. Baadhi ya maeneo yetu vijundi vya ukusanyaji tako vipo ila vinachangamoto nyingi mno sembuse vifaa vya ufanyiaji kazi au vitendea kazi ukosefu wa vitu ivyo upelekea ata wao kufanya kazi katika mazingira magumu mno kitu ambacho kinapelekea ata sehemu zingine kubaki azijafanyiwa usafi ingali wanachi wanato hela za taka. Napendekeza vikundi ivi kutengenezewa mazingira rafiki ya ufanyaji kazi ili kusaidia sekta hii ya mazingira.
Vilevile watohaji elimu wapo ila sio watu waliosemea maswala mazima ya elimu ya mazingira ili nalo ni tatizo kubwa mno nashauli kuwa watu wanaopaswa kwenda kutoa elimu ya mazingira inabidi au inapaswa wawe wamesomea maswala mazima ya mazingira kwa ujumla kwa sababu kwanza watakuwa ni profeshino katika idara yao na naamini watakachokitoa kwenye jamii kitakuwa ni kitu sahii kuliko walio waliotolewa sehemu tu ilimradi kujaza magepu.
Utekelezaji wa viwango vilivyopo kwa biashara zinazohusika na uzalishaji wa aina yoyote ya takotaka.
vilevile mradi huu unaitaji uwekezaji mkubwa sana kwa sababu bila uwekezaji utekelezaji wake utakuwa mgumu sana kwa sababu ili kazi ifanyike vizurii rasilimali fedha zinaitaji sana , rasilimali watu wanaitajika sana, teknolojia inaitajika sana kutokana na utafiti ambao unefanywa na watu mbalimbali Ni wazi kuwa takataka zimejaa sana majumbani na kwenye makazi ya watu wadau mbali mbali wajitokeze kuweza kunusuri kizazi cha leo na ata kesho kwa sababau baadhi ya mazingira hali yake ni mbaya sana kutokana na uchafu kukithiri.